SHELI INAUZWA IRINGA
$Shel inauzwa iringa mjini ina vitu vifuatavyo..
1.Duka na store yake
2.Ofisi ya MD na choo chake
2.Ofisi ya kufungia hesabu ya wafanyakazi
4.Ofisi ya meneja
5.Ofisi ya muhusibu/Store yake
6.Sehemu ya ATM/Pia panweza tumika kuweka Min s/market
7.Vyumba vya kubadilishia nguo viwili Me /Ke
8.Store
9.Vyoo vya Ke/Me
Hivyo ndivyo vilivyopoa kwenye kuu la ofisi hiyo mbele bei yake ni bilioni
1.7.
34000 Desel
34000 Petrol
Jumla 68000
maongez mezani kati ya muuzaji na mnunuzi karibu sana mteja